Kiot-Danum

Kiot-Danum ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Waot-Danum kwenye kisiwa cha Kalimantan. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kiot-Danum imehesabiwa kuwa watu 78,800. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiot-Danum iko katika kundi la Kibarito.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search